Jumamosi, 18 Mei 2013

RAIS KIKWETE ASHIRIKI KATIKA SHEREHE ZA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MKUU WA ANGLIKANA


8E9U5797 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania aliyemaliza muda wake Dkt.Valentino Mokiwa(katikati) akimtambulisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Portal Welby muda mfupi kabla ya kuanza kwa ibada ya kumtawaza askofu Mkuu Mpya wa Kanisa hilo hapa nchini Askofu Jacob Erasto Chimeledya iliyofanyika katika Kanisa kuu la Roho Mtakatifu Dodoma. 8E9U5921 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini aliyemaliza muda wake Dr.Valentino Mokiwa akimtawaza Askofu Mpya wa Kanisa hilo Askofu Dkt. Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada iliyofanyika katika kanisa Kuu la Roho Mtakatifu mjini Dodoma leo. 8E9U6203 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la Anglikana nchini Askofu Dkt.Jacob Erasto Chimeledya wakati wa ibada ya kumtawaza kuwa askofu Mkuu iliyofanyika katika kanisa Kuu la roho Mtakatifu,mjijni Dodoma Leo

Call Us Now:

+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595