Alhamisi, 6 Juni 2013

REINHARD BONNKE AMTEMBELEA RAIS KENYATTA IKULU JIJINI NAIROBI

 

Evangelist Reinhard Bonnke  akiwa na rais Kenyatta

MWINJILISTI WA KIMATAIFA REINHARD BONNKE ATEMBELEA IKULU YA KENYA KUONANA NA RAISI KENYATTA ANGALIA TUKIO



Hakika ni jambo jema sana kiongozi mkuu wa nchi anakutana na watumishi wa Mungu katika makazi yake, kwani kwa tendo hilo, hekima na baraka za Mungu kwa Taifa zima, zinawafikia wananchi wote, sauti ya kanisa inampongeza Rais Kenyatta kwa kumkaribisha mwinjilisti Bonnke, kwani kwa kufanya hivyo amewakaribisha malaika hapo Ikulu
H

Call Us Now:

+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595