Jumatano, 28 Agosti 2013

ACHOMWA MOTO NA KUFARIKI KWA TUHUMA ZA WIZI WA MKAA

ombi letu ni kwamba ni vema kusichukue sheria na hukumu mikononi na vichwani mwetu, tuiachie mamlaka husika kazi hiyo, ndugu yangu, je wewe ni muumini wa dini gani? je unakumbuka amri ya Mungu isemayo kwamba usiue? hasira ya Mungu ni kubwa kuliko hasira yako wewe unayechukizwa na wezi, wewe unamchoma mtu hadi kufa, uenda dhambi aliyofanya sio kubwa kama dhambi unayofanya ya kuua!! usimwage damu ya mwanadamu na kuua, ile damu huwa inalia sana baada ya mtu kufa, na unaweza kujisababishia laana kubwa maisha yako na kizazi chako. mahakama na jeshi la polisi tuwaachie wafanye wajibu wao. huu ni mtazamo wa darubinileo.blogspot.com

0 comments:

Chapisha Maoni

Call Us Now:

+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595