Kanisa la Victorious Church lenye makao yake makuu mjini Moshi, linaloongozwa na Apostle Sixbert Paul Mkelemi, hatimaye limefungua tawi lake jijini Arusha, hii ni kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa Arusha wanavyoonyesha uitaji mkubwa wa huduma ya mtumishi huyo wa Mungu, kwani kumekuwa na idadi ya watu kadhaa wanaotoka jijini Arusha na kuja kufuata huduma ya mafundisho na maombezi ya Apostle S.P. Mkelemi ambayo yamekuwa ni Baraka kwa watu wengi sana, zipo shuhuda nyingi za watu waliokuwa na magonjwa ya kutisha, lakini baada ya maombi wamewekwa huru mbali na magonjwa, pia zipo shuhuda za mamia ya watu waliokuwa wanaupeo mdogo wa kuyajua maneno ya Mungu, lakini walipokutana na Apostle Mkelemi wameijua njia ya Bwana Yesu kwa usahihi na kujua kipi wanapaswa kukifanya. Kwa wale wanataka maelekezo ya kufika lilipo kanisa la Victorious jijini Arusha wanaweza kupiga simu hii 0753808209 kwaajili ya maelekezo ya kufika kanisani.
Jumatano, 10 Aprili 2013
MTUME, SIXBERT PAUL MKELEMI WA KANISA LA VICTORIOUS CHURCH YUPO JIJINI ARUSHA
Kanisa la Victorious Church lenye makao yake makuu mjini Moshi, linaloongozwa na Apostle Sixbert Paul Mkelemi, hatimaye limefungua tawi lake jijini Arusha, hii ni kutokana na idadi kubwa ya wakazi wa Arusha wanavyoonyesha uitaji mkubwa wa huduma ya mtumishi huyo wa Mungu, kwani kumekuwa na idadi ya watu kadhaa wanaotoka jijini Arusha na kuja kufuata huduma ya mafundisho na maombezi ya Apostle S.P. Mkelemi ambayo yamekuwa ni Baraka kwa watu wengi sana, zipo shuhuda nyingi za watu waliokuwa na magonjwa ya kutisha, lakini baada ya maombi wamewekwa huru mbali na magonjwa, pia zipo shuhuda za mamia ya watu waliokuwa wanaupeo mdogo wa kuyajua maneno ya Mungu, lakini walipokutana na Apostle Mkelemi wameijua njia ya Bwana Yesu kwa usahihi na kujua kipi wanapaswa kukifanya. Kwa wale wanataka maelekezo ya kufika lilipo kanisa la Victorious jijini Arusha wanaweza kupiga simu hii 0753808209 kwaajili ya maelekezo ya kufika kanisani.
Posted By:
Unknown
On 09:05
In
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Call Us Now:
+255 655 732121,
+255 716 758595 / +255 762 758595
may you enter into your eternal Glory, abundant blessings,unending joy, divine favour.......and prosperity in Jesus Name!
JibuFuta