Darubini Leo
Mwanzo
Magazeti
Ushauri wa Kiroho
Mawasiliano
Jumamosi, 8 Juni 2013
AJIRA NI POPOTE; LA MUHIMU MKONO KINYWANI
Hapa ni maeneo ya Ubungo barabara ya Morogoro jirani na taa za kuongozea magari, ndugu huyu ufanya kazi ya kusafisha vioo vya magari na baada ya hapo uomba ujira wa ile kazi aliyoifanya, na umri wake ni kama miaka 32 hivi, na kila wakati utamkuta maeneo jirani na mataa, akivizia magari yanapo simama ili aweze kufanya usafi
Wakati mwingine uongeza bidii na hadi anapanda juu ya magari kwaajili ya kusafisha, kwa hakika lazima utatoa tu pesa, je hii nayo ni ajira au ni uvunjifu wa sheria za usalama barabarani na kuwakosesha watu amani?
Posted By:
Unknown
On
02:42
In
Tweet
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Call Us Now:
+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595
Popular Posts
POLISI WAKAMATWA NA FUVU LA KICHWA CHA BINADAMU
Ijumaa, Mei 10, 2013 04:42 Na Merina Robert, Kilosa ...
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 YAFUTWA, MITIHANI KUSAHIHISHWA UPYA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi (kushoto), akiwa bungeni mjini Dodoma. Kulia ni Mbunge wa...
MAMA MARIA /LOWASSA WACHANGISHA MILLION 247.3
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa amechangisha Million 247.3 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya Kiabakari Wilaya ya Butihama katika...
REINHARD BONNKE AMTEMBELEA RAIS KENYATTA IKULU JIJINI NAIROBI
Evangelist Reinhard Bonnke akiwa na rais Kenyatta MWINJILISTI WA KIMATAIFA REINHARD BONNKE ATEMBELEA IKULU YA KENYA KUONANA...
MSIWAUE WAPENZI WA JINSIA MOJA. RAIS MSEVENI
Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amesema wapenzi wa jinsia moja hawapaswi kuuawa au kudhalilishwa, huku wabunge wa nchi hiyo wakiendelea ...
VIONGOZI WA IGAD WAJADILI MZOZO WA SUDANI
Kundi la kieneo barani Afrika linasema serikali ya Sudan Kusini imekubali kusitisha mapigano hatua ambayo itasaidia kumalizika kw...
PAPA AMEKUBALI PADRI MOSHA KUOA
Moshi. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amekubali kumuondolea sakramenti ya upadri, Raymond Mosha wa Jimbo Katoliki l...
ASKOFU ZACHARY KAKOBE NI ASKOFU MKUU WA KANISA LA FULL GOSPEL BIBLE FELLOWSHIP
Nimtumishi wa Mungu ambaye amefanya kazi kubwa ya kuhubiri Injili hapa nchini na nje ya Tanzania, tungesema kwa lugha ambayo rahisi ni mhu...
KIKWETE APONGEZWA CONGO KWA HEKIMA YAKE KUHUSU AMANI
Pendekezo la Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo izungumze na makundi ya waasi na nchi jira...
SERIKALI YASAINI MIKATABA MINGINE SABA YENYE THAMANI YA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.7
SERIKALI ya Tanzania leo imeingia mikataba saba na makampuni sita ya Kichina yenye thamani ya d ola za Marekani bilioni 1.7 (Sh. trilioni...
Mara ngapi imetembelewa?
Habari toka Mitandaoni
BOFYA HAPA: Kupata habari mpya toka Funguka sasa
BOFYA HAPA: Kupata Habari mbali mbali za soka toka vilabu vikubwa Duniani na Tanzania pia.
Pia unaweza kutangaza nasi kwa bei nafuu kabisa kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zinazoonekana kushoto kwako
Mawasiliano
Wasiliana nasi kwa kutumia Namba za simu:
+255 655 732 121 au +255 716 758 595
Pia kwa Barua pepe:
sautiyakanisa@gmail.com
Tutumie maoni ni jinsi gani twaweza kuboresha huduma yetu ya habari kwa ajili yako na jamii yetu pia.
Tuma ujumbe kwenye barua pepe au moja kati ya namba za simu hapo juu.
Habari za Makanisa
Kutoka Makanisani
Ratiba za Ibada
Mikutano na Semina za neno la Mungu
Huduma za Watumishi Yaliyojiri Ibada za Jumapili
PRIMIUN ADS
Home
Magazetini
Ushauri wa kiroho
Teknolojia
Help
Mawasiliano
© 2013 Darubini Leo
Designed by:
Mesh Mushobozi