Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa amechangisha Million 247.3 kwa ajili ya
ujenzi wa shule ya Kiabakari Wilaya ya Butihama katika mkoa wa Mara,
ambapo fedha hizo zitasaidia kujenga word ya Hospital ya Kukirango
kutokana na ongezeko za watu.
Harambee hiyo imeandaliwa na Mke wa baba wa Taifa Mama Maria nyerere Pamoja na Father Wojciech Adam Koscielniak ambaye ni Paroko wa jimbo hilo.
Mh.Lowassa alimsifia Mbunge wa Msoma Vijijini Mh.Nemrod Mkono kwa juhudi kubwa alizozifanya katika jimbo lake kwa kujenga shule, Hospitali na miradi mbalimbali ya maendeleo katika Harambee hiyo alichangia million 50, mifuko ya sementi 100 na ngombe mmoja kwa ajili ya chakula kwa mafundi watakaokuwa wanajenga

0 comments:
Chapisha Maoni