Jumatano, 15 Mei 2013
MWENYEKITI WA CCM AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na wengine kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imemteua mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chambani Pemba, Mattr Said
Posted By:
Unknown
On 10:41
In
Call Us Now:
+255 655 732121,
+255 716 758595 / +255 762 758595