Jumapili, 22 Septemba 2013
WAZIRI MKUU PINDA AKIWA ZIARANI KARATU
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wa Mbulumbulu baada ya kuzindua Kituo cha Afya cha Kambi ya Simba wilayani Karatu Septemba 20, 2013. Kulia ni mkewe Tunu na kulia kwake ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya wa Shule ya Sekondari ya Awet wilayani Karatu baada ya kuwahutubia wananchi katika mkutano uliofanyika shuleni hapo Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya wananchi wa Karatu waliohudhuria mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu,Mizengo Pinda mjini Karatu wakimsikiliza Waziri Mkuu, wakati alipowahutubia Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted By:
Unknown
On 02:40
In
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Call Us Now:
+255 655 732121,
+255 716 758595 / +255 762 758595
0 comments:
Chapisha Maoni