Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50 toka umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida wa umoja huo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikilia maelezo toka kwa
Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Profesa Joram Biswalo maara baada ya
kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis
Ababa, Ethiopia, Ijumaa Mei 24, 2013 usiku tayari kuungana na viongozi
wenzie wa Afrika pamoja na wageni waalikwa katika sherehe za miaka 50
toka umoja wa Afrika (OAU na AU) kuanzishwa pamoja na mkutano wa kawaida
wa umoja huo.