Polisi mkoani Tarime wameua mtoto wa miaka 9, Deo Yakob, katika kilichoripotiwa kuwa pilikapilika za kukamata majambazi wanaoiba na kuua watu mpakani mwa Tanzania na Kenya.
Bado
hakuna maelezo zaidi, kuhusu ni kitu kani kilichopelekea mtoto huyo
kuuawa katika juhudi za polisi kukamata majambazi hao. Pia haijafahamika
kama polisi hao walikamata majambazo wowote.
Pichani
ni wananchi wakiwa na mwili wa mtoto huyo ambaye alikua ni mwanafunzi wa
darasa la tatu katika shule ya msingi ya Mturu, mjini Tarime. Habari na
picha kutoka: jamiiinformation.blogspot.co