Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na MwadahamaPolycarp Kaldianali Pengo (kushoto) wakishuhudia wakati Mhashamu Titus Mdoe, Askofu Msaidi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo zilizofanyika kwenye viwanja vya Msimbazi Centre jijini Dar es salaam Me 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es slaam, Mhashamu Titus Mdoe katika ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Msimabazi Centre jijini Dar es salaam, Mei 1, 2013 . kulia ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments:
Chapisha Maoni