Rais Kikwete mgeni rasmi katika Harambee ya kuchangia Chuo Cha Kiislamu Cha Al- Haramain.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP
Dkt Reginald Mengi ambaye alichangia shilingi milioni 100 kwa ajili ya
kusaidia upanuzi na maendeleo ya Chuo Cha Kiislamu cha Al-Haramain
kwenye hafla ya harambee iliyofanyika Jumamosi usiku katika hoteli ya
Serena jijini Dar es salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni