Rais Kikwete yupo ziarani nchini Uholanzi, hapa alikuwa akizungumza na watu waliowekeza katika kilimo mitaji mikubwa, yamkini anatutafutia maisha bora au anajaribu kujua wao wanafanyaje, ili baada ya hapo atakapo rudi atushirikishe watanzania jinsi ya kufanya
Anapewa maelekezo na mkurugeza wa kampuni kubwa ya kilimo cha mboga mboga nchini Uholanzi
Jumanne, 16 Aprili 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Call Us Now:
+255 655 732121,
+255 716 758595 / +255 762 758595
0 comments:
Chapisha Maoni