Jumapili, 14 Aprili 2013

ASKOFU MPEMBA NA SHEHE ILUNGA WANATAFUTWA NA POLISI KWA MAKOSA YA JINAI



Viongozi wa kanisa tunapaswa kuwa mfano bora kwa watu wote, maandiko yanasema tena yanamtaja mtu mwenye huduma ya uaskofu, yanasema, maana imempasa askofu asiwe mtu wa kulaumiwa!!, sasa hii habari iliyotolewa na kamanda wa mkoa wa Mwanza kuwa askofu mpemba anatafutwa na jeshi la polisi kwa kosa la uchochezi, na ameambiwa ajisalimishe katika mikono ya polisi, yeye ametoweka, kama anadhani alikuwa anafanya kazi ya Mungu yanini kujificha

0 comments:

Chapisha Maoni

Call Us Now:

+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595