Naibu
Waziri wa Fedha Mhe. Janet Mbene akishukuru uongozi wa benki ya NMB kwa
msaada wa mashuka na vitanda vya akina mama katika hospitali ya Itumba
wilaya ya Ileje .Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni Tano
umetolewa na benki ya NMB kupitia tawi la Ileje mwishoni mwa wiki katika
viwanja vya hospitali ya Itumba.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nd. Mohamed Mwala akimshukuru Meneja
wa Kitengo cha Huduma za Serikali wa NMB , Bw. Elieza Msuya baada ya
kupokea msaada wa vitanda na mashuka ya hospitali ya wilaya ya
vilivyotolewa na benki ya NMB. Anayeshuhudia makabidhiano hayo ni Naibu
Waziri wa Fedha Mhe. Janet Mbene
Alhamisi, 24 Oktoba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Call Us Now:
+255 655 732121,
+255 716 758595 / +255 762 758595
0 comments:
Chapisha Maoni