Mke wa Rais Dkt.Jakaya Kikwete Mama Salma Kikwete akiwasabahi na kuzungumza na baadhi ya wasichana yatima walioshiriki katika futari illiyoiandaliwa ikulu jijini Dar es Salaam jana.Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo
Mke wa Rais Dkt.Jakaya Kikwete Mama Salma Kikwete akiwasabahi na kuzungumza na baadhi ya wasichana yatima walioshiriki katika futari illiyoiandaliwa ikulu jijini Dar es Salaam jana.Watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es Salaam walihudhuria futari hiyo.
Watoto yatima wakipata chakula
0 comments:
Chapisha Maoni