Jumatano, 17 Aprili 2013

RAIS MSTAAFU A. MWINYI LEO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU SWALA LILILOLETA UTATA JUU YA NANI ACHINJE

Kiongozi wetu na Rais mstaafu Alhaji Alli Hassan Mwinyi, leo aliwaita waandishi wa habari nyumbani kwake na kuzungumza nao juu ya hali iliyojitokeza na hata kuleta kutoelewana kwa baadhi ya watanzania wachache kuhusu uhalali wa nani anayepaswa kuchinja. kipi amezungumza, tutakujulisha muda mfupi ujao

0 comments:

Chapisha Maoni

Call Us Now:

+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595