RAIS WA JAMIHURI YA TANZAIA LEO AMEFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA USALAMA NA AMANI LA UMOJA WA AFRIKA
TUNAMWOMBA MWENYEZI MUNGU, KIKAO HIKI KILETE MAFANIKIO MAZURI NA MEMA KWA MAKUSUDI YA KUZITAKIA NCHI ZOTE ZA AFRIKA AMANI NA USALAMA, MKONO WA MUNGU UWE PAMOJA NA KILA MSHIRIKI KATIKA MKUTANO HUO MKUBWA WA AMANI ILI HEKIMA ITOKAYO KWA MUNGU IWE PAMOJA NA WASHIRIKI WOTE
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Dr. Jakaya Kikwete (Kushoto)
akifungua mkutano wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika leo
jijini Dar es Salaam, kikao hicho ni cha 368 na katika ajenda zake
pia kitazungumzia mgogoro wa Madagascar. (Pichani kushoto) Mjumbe wa
SADC ,Joachime Chissano., Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kitaifa Mh. Bernard Membe ambae ndie Mwenyekiti wa Kikao kicho,
akifuatiwa na Kamishna wa Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika H.E.
Ramatane Lamamra..
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt, Jakaya Kikwete akifungua
kikao cha Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika leo jijini Dar
es alaam. (Pichani katikati) Kamishana wa Baraza la Amani na Usalama wa
Umoja wa Afrika H.E. Ramtane Lamamra. na (kulia) ni Mwenyekiti wa kikao
hicho Mh. Bernard Membe, ambae pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiani wa Kimataifa.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na Mwenyekiti
wa Kikao cha Baraza la Amani na Usalama wa Umoja wa Afrika, akifungua
cha 368 cha baraza hilo, leo jijini Dar es Salaam,Kikao hicho ni cha
siku moja ambacho pia kimehudhuriwa na Rais wa zamani wa Msumbiji ambae
ni Mjumbe wa SADC hayupo pichani, (katikati) ni Kamishna wa Baraza la
Amani na Usalama la Umoja wa Afrika H.E. Ramamtane Lamamra, (kulia) ni
Rais Dkt. Jakaya Kikwete,
Rais
wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (kushoto) akiongea na
Kamishna wa Baraza la Amani la Usala wa Umoja wa Afrika H.E. Ramtane
Lamamra babada ua funguzi wa kikao cha 368 chabara
0 comments:
Chapisha Maoni