![]() |
MWINJILISTI WA KIMATAIFA REINHARD BONNKE ATEMBELEA IKULU YA KENYA KUONANA NA RAISI KENYATTA ANGALIA TUKIO
![]() |
Hakika ni jambo jema sana kiongozi mkuu wa nchi anakutana na watumishi wa Mungu katika makazi yake, kwani kwa tendo hilo, hekima na baraka za Mungu kwa Taifa zima, zinawafikia wananchi wote, sauti ya kanisa inampongeza Rais Kenyatta kwa kumkaribisha mwinjilisti Bonnke, kwani kwa kufanya hivyo amewakaribisha malaika hapo Ikulu
H
