Darubini Leo
Mwanzo
Magazeti
Ushauri wa Kiroho
Mawasiliano
Jumamosi, 8 Juni 2013
AJIRA NI POPOTE; LA MUHIMU MKONO KINYWANI
Hapa ni maeneo ya Ubungo barabara ya Morogoro jirani na taa za kuongozea magari, ndugu huyu ufanya kazi ya kusafisha vioo vya magari na baada ya hapo uomba ujira wa ile kazi aliyoifanya, na umri wake ni kama miaka 32 hivi, na kila wakati utamkuta maeneo jirani na mataa, akivizia magari yanapo simama ili aweze kufanya usafi
Wakati mwingine uongeza bidii na hadi anapanda juu ya magari kwaajili ya kusafisha, kwa hakika lazima utatoa tu pesa, je hii nayo ni ajira au ni uvunjifu wa sheria za usalama barabarani na kuwakosesha watu amani?
Posted By:
Unknown
On
02:42
In
Tweet
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Call Us Now:
+255 655 732121, +255 716 758595 / +255 762 758595
Popular Posts
HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA LA T.A.G TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD TABATA YAFANYIKA JUMAPILI
Picha hii ndiyo ya sura ya kanisa kwasasa wakati ujenzi ukiendelea Kwa hakika hizi ni habari njema, kwamba kumbe watanzania wan...
HATARI YA KUSAHAU MAMBO AMBAYO MUNGU ALIKUTENDEA
Na Mchungaji Josephat Gwajima Mungu katika Neno lake Mara nyingi anawaambia watu wake wakumbuke. Kuna uwezekano wa kusahau mambo ya ny...
MOJA KATI YA MATUKIO YA AJABU DUNIANI YAKIAMBANA NA UPENDO, AFUNGA NDOA NA MAITI
picha hii hapa ni wakati wa mapenzi yao kabla ya kifo kilichotokea Moja kati ya matukio ya kushangaza sana hapa Duniani, ni tukio la ...
WACHAWI WADONDOKA CHINI HUKO SHINYANGA, NA WAFIKISHWA KATIKA MIKONO YA SHERIA, NI VIKONGWE WA SANGOMA
AMA hakika duniani kuna mambo! Na lisemwalo lipo kama halipo basi laja. Ni jambo ambalo ni vigumu kuliamini lakini ukweli wa mambo n...
IMANI YA KUONDOLEWA DHAMBI KWA KWENDA KUOGA UCHI MTONI GANGES HUKO INDIA
DUNIA KUNA MAMBO YA KILA AINA, YA AJABU NA MENGINE YA KUSHANGAZA KWA MTU AMBAYE NI MARA YAKE YA KWANZA KUSIKIA AU ASIYE AU IMANI FURANI, AN...
Albino wazua tafrani Polisi Bugurun
Dar es Salaam. Watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), jana walizua tafrani Kituo cha Polisi Buguruni, wakipinga dhamana kwa mshtakiwa, ...
HABARI PICHA ZA JINSI ASKOFU KULOLA ALIVYOAGWA DAR ES SALAAM
sehemu ya waombelezaji, na waliovaa nguo nyeusi ni wajukuu wa Askofu Kulola waliwa katika huzuni ya kuondokewa na babu yao waliyempenda ...
Mara ngapi imetembelewa?
Habari toka Mitandaoni
BOFYA HAPA: Kupata habari mpya toka Funguka sasa
BOFYA HAPA: Kupata Habari mbali mbali za soka toka vilabu vikubwa Duniani na Tanzania pia.
Pia unaweza kutangaza nasi kwa bei nafuu kabisa kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba zinazoonekana kushoto kwako
Mawasiliano
Wasiliana nasi kwa kutumia Namba za simu:
+255 655 732 121 au +255 716 758 595
Pia kwa Barua pepe:
sautiyakanisa@gmail.com
Tutumie maoni ni jinsi gani twaweza kuboresha huduma yetu ya habari kwa ajili yako na jamii yetu pia.
Tuma ujumbe kwenye barua pepe au moja kati ya namba za simu hapo juu.
Habari za Makanisa
Kutoka Makanisani
Ratiba za Ibada
Mikutano na Semina za neno la Mungu
Huduma za Watumishi Yaliyojiri Ibada za Jumapili
PRIMIUN ADS
Home
Magazetini
Ushauri wa kiroho
Teknolojia
Help
Mawasiliano
© 2013 Darubini Leo
Designed by:
Mesh Mushobozi